FIKRA PEVU

Huwezi timiza malengo makubwa uliyojiwekea, Kama hujawa tayari kupambana na changamoto na vikwazo Kwa muda mrefu.

Katika Maisha kila Mtu anataman kuwa na Maisha Mazuri,maisha ambayo yamejitosheleza.
Lakini kutamani peke yake hakujawahi kufanya kitu kiwe kama hujachukua hatua,na pale unapochukua hatua pia mambo hayawi rahisi vile vile.

Utakutana na kila la kukukatisha tamaa akiwepo wewe mwenyewe, utajiambia Haya yote Yanini? Kwanini nisifanye mambo mengine?.
Rafiki, Maisha hayana tabia yakuruhusu upate unachotaka Kwa wepesi,mpaka uwe tayari kupoteza baadhi ya Vitu, uwe tayar kupambana na kila jiwe Maisha yatalokurushia.
Nipale tu utakapo kuwa king'ang'anizi, ndipo Maisha yatakuwacha upate unachotaka na ufanye unachotaka.

Nikutakie sku njema, katika kupambana ili ufikie ndoto yako.

Elishad Bashir.
Irshady12@gmail.com.

Comments

Popular posts from this blog

Uchambuzi Wa kitabu;MAMBO 12 Niliyojifunza katika kitabu cha THE BOOK OF HAPPINESS.

FIKRA PEVU.

SARATANI YA MATITI